Wednesday 19 November 2014

Bukavu ujenzi wa barabara unaendelea kutoka bukavu hadi Kamanyola, route Ngomo inaombolezwa

Ni katika shuguli za kuendeleza ujenzi wa barabara kutoka Bukavu kuelekea Kamanyola, ujenzi sio tena wa kiistoria, imeakikishwa na serikali ya kwamba ni lazima kupambana na kazi hizo, kwa hiyo wameanzisha ukarabati wa mifereji bukavu na kuteremka.

http://www.stiopka.com/Bukavu/Solidaires/image077.jpg
Narabara ya ngomo ambayo ni moja ya jambo ambazo husababisha vifo vya watu kupitia ajali barabarani, na iyi ni kutokana na ubovu wa barabara ambao ambo huletwa na hali ya kutofanyiwa marekebisho tokea miaka
zaidi ya 50 ilio pita.